Msanii wa Hiphop Tanzania Afande Sele Afiwa na mke wake  Afande Sele aliweka ujumbe kuhusu taarifa hizi “Ndugu zangu!! Nimefiwa na Mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda/Mama Sanaa) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. SISI NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA; MUNGU AMPUMZISHE PEMA.” Kabla ya kifo chake Afande alifarakana na mke wake na walikuwa wakiishi sehemu tofauti, wameishi pamoja miaka 16,wana watoto wawili  Tunda ambaye yuko kidato cha pili na Sana mwenye miaka 2.
Msiba upo Morogoro Mtaa wa Amani kwa Wazazi Wa Asha mohamed Shengo. Asha amezaliwa May 21 1981, Afande Sele ameniambia Asha aliugua malaria siku moja kabla ya kifo chake.

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours