Vurugu ,matusi na lugha za kejeli ni miongoni kati  ya mambo yaliyotawala semina ya wabunge kuhusiana muswada wa sheria ya kutambulika hukumu zitakazokuwa zikitolewa na mahakama za kadhi hapa nchini wa mwaka 2014/2015.
Ni sehemu ya hali ilivyokuwa wakati wabunge waliposhindwa kuvumuliana na kuheshimiana walipokuwa  wakichangia mara baada ya Jaji Robert Makaramba alipowasilisha mada kuhusiana na muswada huo hali iliyolazimu ulinzi kuimarishwa ndani ya ukumbi huo kwa hofu kwamba huenda waheshimiwa wabunge hao wakatwangana makonde na ndipo semina ilipoendelea.
 
Mbunge  wa kuteuliwa, Kassim Issa mbunge baraza la wawakilishi,
Dakika chache baadaye ikafika kipindi cha kila mtu kumtafuta mbaya wake ama suluhu ya anachokiamini huku lugha za kutishana zikitawala.
 
Wakihitimisha semina hiyo muwasilisha mada Jaji Robert Makaramba pamoja na Waziri mkuu Mh.Mizengo Pinda wamesema ujumbe umefika na mapungufu yaliyoonekana yatafanyiwa kazi
Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours