Golikipa mahiri wa zamani wa klabu yaSimba Juma Kaseja ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Mbeya City ya jijiniMbeya, bado ana historia nzuri na kubwa ndani ya klabu ya Simba, kwani ni miongoni mwa magolikipa mahiri waliowahi kuidakia timu hiyo kwa mafanikio.

Kama ambavyo wengi hufahamu mtu akifanya vizuri ni lazima apongezweJuma Kaseja usiku wa February 1 kupitia account yake ya instagram ameandika ujumbe ambao kwa mara moja ni ngumu kuelewa kamaanisha nini, Kaseja katika account yake ya instagram kaandika“Wana ssc nikumbukeni kwa mabaya nilio wafanyia kwenye timu yenu mazuri yaacheni”

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours