Mkali ya fleva za dancehall toka Bongo TZChibwa Man amesema watu wake wanahitaji kumsogeza kwenye level za kimataifa, so kwa sasa mpango unaofatia unaweza kuwa ni kubadili lugha ili atoboe mbali zaidi na muziki wake usikilizwe kwenye level nyingine duniani.
Baada ya kushuhudia wasanii wakitambulika kwenye headlines za kimataifa ni zamu ya producers pia kutoboa, Nahreel anaanza naPatoranking wa Nigeria.

Nahreel amesema alikutana naPatoranking alipokuja TZ kwenye show, akamsikilizisha kazi kadhaa hivi na jamaa akaonekana kupenda mzigo, kamtumia beats kadhaa na huenda ujio wa album yaPato ukawa na mkono pia wa kazi yaNahreel… all the best kwa mtu wetu !!

Alikiba amesema kabla ya muziki alikuwa mkali sana kwenye soka, baada ya kuachia ngoma ya Cinderella akaona hata isiwe kesi, shida ilikuwa ni kusaka pesa na pesa zimeanza kuonekana zaidi kwenye muziki akona aachane na soka… ikawa show baada ya shows kuanzia hapo.

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours