GENERAL NEWS

Haya ndio majukumu mapya ya Rais Kikwete aliyopewa na Umoja wa Afrika AU leo January 31

By

Rama Mwelondo TZA

on

January 31, 2016

70SHARES

COMMENTS

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DkJakaya Mrisho Kikwete Jumapili ya January 31 Umoja wa mataifa wa Afrikawametangaza kumpatia majukumu mapya. Dk Jakaya Kikwete January 31 ameteuliwa kuwa mjumbe wa amani waLibya.

Dk Kikwete ameteuliwa kuchukua nafasi hiyo ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Mr Dileita Mohamed Dileitawa Djibouti ambaye alikuwa mjumbe wa nafasi hiyo toka mwaka 2014. Kikweteameteuliwa kuwa msuluhishi wa kutafuta amani Libya ambapo toka auwawe aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Muammar Gaddafi mwaka 2011, hali bado sio nzuri

Share To:
Magpress

MagPress

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

0 comments so far,add yours